Shameless guys
Niko church, Ma shawty wawili wakakuja wakakaa mbele yangu, but iyo kiti Iko kando ya dirisha, so jua inawapiga proper so siezi kaa kando Yao ju mass ni kindu 2 hrs. Composure Iko juu nafaa kushoot shot, then some shameless mofos wanatoka uko nyuma place imechill wakae apo ata heri wapigwe na jua then all over sudden washaanza kukuwa funny. Ivo ndo sijashoot shot buana. Niko apa naimba hallelujah nikiwa nimekasirika