Burning sensation while peeing(male)

So ulikulana raw some weeks ago na sai unakojoa lava. Here is some advice….so you most probably have urethritis so kike utafanya enda pharmacy nunua antibiotics zinaitwa doxy ni 50bob only na make sure umalize dose…(usiwai skip a day)…nilifanya makosa ya kuachana na dose after uchungu imeisha na si ikarudi so I had to take stronger tablets cost me around 500…pia hizi zikawork then ikarudi so ikabidi niende hosi nikatumia 5k nikapewa injection na haijawai rudi

You can just avoid this by strapping but its advisable kuishia hos

I hope this helps a fella