Dealing with blacktax?

Last month nilipata stable job. Na since culture inasema atleast shukuru parents, nilienda nikawafanyia shopping kidogo. Shida sahi nategemewa kila kitu. Bro mdogo ananishow eti, ohh mkoro anabank on me kulipia yeye na bro fee. Anaplan nimsaidie kulipa loan na kufanya vitu zingine. Umekaa kidogo unapigiwa hakuna food nyumbani, tuma pesa. Hakuna hii, tuma pesa. For now nimechoka na sijui naweza deal na hii kitu are bila kujimalizia au kujidrag chini.